featured
vhm
vhm Injili vijijini
WITO WETU NI KUPELEKA INJILI KATIKA VIJIJI VILIVYOTELEKEZWA NA VIJIJI VINAVYOONEWA NA WACHAWI SUGU PAMOJA NA NGUVU ZA GIZA
4:17 AMgeorge joseph Baada ya kumaliza injili vijiji vya Muheza Tanga, VHM inaendelea na huduma katika vijiji vya Korogwe Tanga. Mamia ya wanakijiji wakifunguliwa na kukabidhi maisha yao kwa Bwana Yesu. Mkurugenzi wa VHM Dr. Peter Mitimingi akiwaombea wanakijiji waliokolewa Korogwe Tanga (Marko 16:18 "watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya") Wanakijiji vijiji vya Korogwe Tanga wakifuatilia kwa makini Neno...