feature featured

MOJA YA MITI AMBAYO WACHAWI HUTUMIA HUKO KILWA WANAMAOMBI WAKIHARIBU NGUVU ZA GIZA HIVI KARIBUNI

9:09 AMgeorge joseph



LEO Tarehe 01/02/2016 Tumeanza kazi rasmi Timu ya wazamiaji makomandoo wa Yesu imeondoka kuelekea vijiji vya MUHEZA kubomoa na kuharibu madhabahu za shetani. 

Unaweza kushiriki nasi kwa njia ya sadaka kupitia vyombo vyetu vya sadaka.

Tigopesa 0713 18 39 39

M-pesa  0767 56 39 39

Airtel Money 0688 66 66 22

Au unaweza kufika katika ofisi zetu zilizopo Mwenge, Tunatizamana na Hospitali ya Mama Ngoma. Na MUNGU akubariki

You Might Also Like

0 comments

Popular Posts

Contact Form