featured vhm

WITO WETU NI KUPELEKA INJILI KATIKA VIJIJI VILIVYOTELEKEZWA NA VIJIJI VINAVYOONEWA NA WACHAWI SUGU PAMOJA NA NGUVU ZA GIZA

4:17 AMgeorge joseph

Baada ya kumaliza injili vijiji vya Muheza Tanga, VHM inaendelea na huduma katika vijiji vya Korogwe Tanga. Mamia ya wanakijiji wakifunguliwa na kukabidhi maisha yao kwa Bwana Yesu. 



 Mkurugenzi wa VHM Dr. Peter Mitimingi akiwaombea wanakijiji waliokolewa Korogwe Tanga 
(Marko 16:18  "watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya")

 Wanakijiji vijiji vya Korogwe Tanga wakifuatilia kwa makini Neno la Uzima


Watoto wakiombewa na kufunguliwa na vifungo vya Shetani.

Mamia ya wanakijiji waliofika kusikiliza Neno la MUNGU vijiji vya Mombo korogwe Tanga.


Shiriki Nasi kupeleka injili Mbele ya YESU kristo Aliye kupitia vyombo vyetu vya sadaka
TIGO PESA : 0713 18 39 39
MPESA : 0767 56 39 39
AIRTEL MONEY : 0688 66 66 22

ACCOUNT NUMBERS
NBC : THE VOICE OF HOPE MINISTRIES
ACC # : 074103001247

NMB : SUBIRA MITIMINGI
ACC # : 2251612583


AU unaweza kufika moja kwa moja ofisini kwetu Mwenge, Tunatizamana na Hospitali ya Mama Ngoma, Karibu sana na MUNGU akubariki.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe pmitimingi@gmail.com au simu Namba +255 713 18 39 39

You Might Also Like

0 comments

Popular Posts

Contact Form